4
VISITORS
0

ABOUT ME

ABOUT ME

FOLLOWING
You are not following any writers yet.
More

STORY BY WAKUNG'ARA EMPIRE

WHAT DREAM? (comed)

WHAT DREAM? (comed)

Reads

SALIM 32 nimtanashati anae ishina rafikiyake mbogo 30 salim anapenda watoto wakike Yani kifupi ni prayboy amekua na tabia ya kukataa mimba maranyingi na wanawake wengi wameshamletea ujauzito lakini hakuwahi kukubali siku mojaa merry alikuja kumpa habali za mimba akakataa merry aliludi kwa kwao akanuia akafunga wiki nzima akimuomba mungu amwathibu salim kwa kumwalibia maisha yake ndioo salim akaanza kupata shida Kila anapo lala anaota mjamzito anamimba ikafikia kipindi hataki kulala usiku akiogopa ndoto hiyo lakini ilifikia kipindia alishikwa na usingizi na akilala hatuna ya ukuwaji wa mimba unaongezeka nakila akimshilikisha rafiki zake hapatijibu ikabidi aanze kuomba msamaha kwa wale wanawake mmoja mmoja kila akikumbuka alietembea nae wanamsamee lakini akilala ndoto bado inamsumbua kaendelea kumtafutaa ninani alie katana miimbaa ilii aombe msamaha lakini bado akiludi usiku ndoto inaendelea taharifa ilifikia merry alipoambiwa na mbogo rafikiyake salim lakini Merry alisema bado mpaka akome kuchezea wanawake na awaheshii

Updated at

Read Preview
MUGAMBO(comed)

MUGAMBO(comed)

Reads

MUGAMBO 35 anaishi na dada yake kipenzi sada ambae anasoma kidato Cha 4 sada anakutana na bint machachali Viki dada yake BATO na kumtongozea kaka yake ambae anaitwa BATO na VIKI akakubali badae viki aliwakutanisha huku BATO akiwa anaogopa ogopa wakizungumza vizuri nakukubari, viki bato wanaishi na mdogo wao anaitwa kalmu ambae yupo safari siku mojaa hasubuh bato aliamka akasimama mlangoniii nakuanza kuimba taarabu ndoo yamaji ikiwa mbele yake viki alikuta bato kaziba njia akampiga but bato akaangukia kwenye ndoo ile ya majii VIKI akaanza kumchekaa Bato akaenda bafuni kuoga kipindi anaenda kuoga akiwa anaoga akasikia viki akimwita nakumwambia kalmu kaja bato alitoka akiwa na mapovu nakujaa kumpokea , akiwa nyumban sada akimuwaza mpenzi wake anakuja MUGAMBO aliliona lile nakumkanya lakini sada anamjibu ovyo ovyo MUGAMBO alichukia na kumwambia atamtafuta huyo ambae anasababisha dada yake asisome vizuri , siku mojaa chakula nilikua kimeiva bato viki na kalmu wakiwa pamojaa bato aliwaambia wafumbe macho waombe bato alianza kuomba kalmu aliona mda unaenda na yeye ananja akala mbogaa bato kamaliza kusali na viki kufumbua macho wakamkuta mbogaa hamna kalmu akawaaambia sadaka itakua imekubalika , siku iliyo fuata bato akiwa ntaaani akakuta lafiki zake wamekaa yeye akaka katkaati na mgambo akiwa pembeni alivogusiwa kuusu mpenzi wake akaanza kujidai kujisifiaa bila kujua kua kaka take sada yupo pale baadae akaulizwa unamjua kaka yake sada aliendelea kujisifiaa baadae akaambiwa kaka yake ndoo huyo bato aliamka talatibuu hukuu akimwangalia MUGAMBO nae aliendelea kumwangalia kwa hasila bato alipotaka kukimbia MUGAMBO alimdaka shati bila mafanikio akabaki na shati tu la bato kumkimbiza hakumkamata siku QQà iliyo fuata bato alikua amelala akiwa ameshika jwis kalmu alipomuona akachukua mlija wabiki nakuinywa jwizi yote akasema nani akakimbia bato anaamka akakuta jwis hamna akawa analalamikia kampun kutengeneza vitu fake

Updated at

Read Preview
HEART PRISONl

HEART PRISONl

Reads

katika ulimwengu moyo umekua kifungon kwakuvumilia shida na changamoto kwa mda mlefu Sana ABU NA FATU niwatu wenye mahusiano lakini ABU Hana furaha na uhusiano huo Kwan FATU Hana mapenzi ya kwelii kwa ABU ameshamfumania mala nyingi Sana FATU akiwa na mwanaume mwingine ilifikia hatua ABU akaamua kutafufa mchumba mwingine na aKawa nampango wa kufunga nae ndoa siku ilipofika ya ndoa ndoa ikiendelea gafra anatokea FATU akiwa analia ikabidi ndoa isimame kwa jinsi alivokua ABU anampenda FATU ikabidi ahailishe ndoa nakupanga sikunyingine ikabidi aondoke na FATU , FATU akamlazimisha waende nyumbani kwa ABU wakawa wamelala mpaka hasubuh FATU akamwahidi mambo mengi Sana ABU akaenda kwao ABU akampigia mchumba wakee nakumwa hawezi kumuowa tena SARA aliumia Sana nakumwambia dada yake akamwambia asimwambie mtu amtafute kwanza abu ili apate uwakika .Abu aliagana na FATU fatu akaenda kwao siku iliyo fata ABU alimpigia FATU sim lakin hakupokea aliendelea kumpigia Bila mafanikio usiku ulipofika aliamua kuitlack sim ya FATU akagundua yupo kwenye maeneo ya kanyenye kwenye ukumbi wa stalee akaenda akakuta FATU yupo na mwanaume mwingine FATU alimcheka Sana ABU nakumwagia bia huku akamwambia maneno ya shombo hapahapo sim ya ABU iliita kupokea huku akiwa nauzuni dada yake sala ndie Alie kua amempigia kuhusu ndoa iliyo simama kwa mda hatma yake ABU akamwambia ndoa ipo wafanye maandalizi yote ABU akaondoka pale huku akiwa nauzuni hasubuh alienda kufunga ndoa baada siku kadha FATU nae aligombana na mpenzi wake wakaa chana kumbe FATU alikua mjamzito na Mimba ile ilikua ya ABU siku waliyokutana nae usiku walishiliki Bila kinga ikabii amtafute ABU abu alikubali ule ujauzito lakin alimwambia n.mme wa mtu hawezi kuishi nae ila akitaka matumizia atamuhudumia Ayo maneno FATU alikataa mbele ya ZHAI mke wa ABU ZHAI nae alimshauli FATU akubali lakin FATU alikataa na akaamua kuondoa huku akisema asimtafute ZHAI aliingia ndani akachukua ela akaja akampa FATU akamwambia mda wowote akiwa na shida asisite kwenda lakin FATU aliondoka kwa hasila ABU na ZHAI wakaingia ndani))))) BAADA YA MIAKA ( 12) FATU alikua na mtoto wakiume anaitwa KILLY na alikua anafanyiwa shelehe ya kuzaliwa akiwa nalafiki zake FATU alikiwa ndani KILLY alimwita mamaaa yake fatu alikua ndani kunapicha MBILI kabandika sebuleni akizitazama kwa hasila zilikua za ABU na mke wake ZHAI alivo sikia anaitwa uku machozi yakimdondoka akazibandua picha akawa anaelekea kwenye shelehe yamwanae gafra alijikwaa akaanguka nakuita KILLY ,,, KILLY aligeuka akakuta mama yake kaanguka akamkimbilia shelehe ikawa imeishia hapo siku iliyo fata FATU alikiwa na mwanae amelala akiwa hohi alimwachia maneno magum ya kuwahusu FATU na ZHAI nakummezesha sumu kali yakuwachukia ABU na ZHAI ilionekana halimbaya akamwambia akamwite mjomba wake akamwendea walivofika akamwambia aende kwa baba yake lakin hasisahau kazi iliyo mpeleka kule akafaliki KILLY kwajili ya upendo wa mama yake akazimia alipozimia ,)))))) FATU aliamka nakampa maagizo Jon aliejiita mjomba wa KILLY , FATU akaondoka alivozinduka KILLY mjomba wake ISSA akamwambia ana siku 3 kwaiyo wameshazika na watu wamesambaa na akamwambia maneno yakumpandikiza chuki juu ya ABU na ZHAI akamwambia hana mda wakukaa pale ampekeke kwa baba yake wakwawa wameodoka mpaka kwenye Kabuli bandia la FATU akiwa KILLY ajui chochote akaliaga Kabuli nakuondoka Jon aligeuka akamuona FATU wakakonyezana nakuondoka FATU akiwa anawafata kwanyuma ISSA alimpeleka KILLY mpaka kwa baba yake ABU akamsontea nyumba ISSA akaondoka halaka hakutaka kuonekana KILLY akiwa amesimama kwenye nyumba kubwa nzuri huku ameshika picha ya mama yake akikumbuka maisha magumu aliyokua anaishi na mama yake nyuma yake limakuja gari nakumpigia honi lakin hakusikia akaashuka alikua ni ABU nakumwagia bilakujua kua ni mtt wake alipo mwangalia Mtoto alikua analia alipo muuliza akachukua picha ya Mama yake akampa ABU kuangalia akamuona FATU akakuta yule nimwanae wakaingia nae ndani alivoingia ndani KILLY alimuona mwanamkee mmoja akakumbuka ndie aliyemuona kwenye picha ndie adui wa Mama yake mwanamkee huyo alikua mjamzito mke wa ABU ni ZHAI akamuona tena mtt wakiume SALLIM +11)akaja kmkumbatia baba yake akakuta yule pia niadui yake wa pili abu alimtambulisha na ZHAI na mwanae SALLIM walimpokea kwa furaha lakin KILLY aliku na mpango wake akiwa amekaa nje mdogo SALLIM akaja kumuongelesha KILLY alimsukuma nakumwambia maneno mabaya akaenda analia mpaka ndani akamuelezea mama yake alipo ludi kutoka kazi ABU nae alimuuliza

Updated at

Read Preview
MALI YA MKOLON

MALI YA MKOLON

Reads

Mnamo mwaka wa 1961 ndio mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru kabla ya uhuru kolon la UINGELEZA ndilo koloni lililokua linatutawala na walitufanya watumwa wazee wetu walipata mateso yakila aina na wengine walipoteza maisha walibeba malizetu wenyewe tulizitafuta nawakazibeba kupeleka kwao tukiwa hatujui kama ni mali waingeleza walipata mali nyingii Sana na mafanikio makubwa ukanda huu wa AFRICAN MASHARIKI waingeleza hao baada yakusikia fununu kua marikia ERIZABETI. kafanya makubaliano na mwalim JULIAS KAMBALAGE NYERERE nakutoa amri waingeleza wote waludi nyumban wao ikabidi mali walizokua nazo waanze kubeba lakini zilikua nyingii mda mchache ikabidi zingine wazifiche watatafuta namna ya kuziijia hata wajukuu zao wakaweka ulimzi wakudumu alama na wakachola lamaani 2 mojaa wakachonga Sanamu wakaweka ndani yake wakaliweka kwenye PANGO na wakatengeneza lamaani nyingine yakufka kwenye PANGO lamaani nyingine wakaifadhi ili waondoke nayo wakawa wameacha vinyoka vidogo vidogo wakiwa namaana yaku kuweka kama ulinzi walikua naakili nyingii kuzidi sisi waliamini wazee wafrika niwaaminifu wakatengeneza mlinzi wakamchukua mzee mmoja wakampa zawad nyingii nakupeana viapo huo ulikua mwaka wa 1960 wakawa wameondoka kwakua wazee wa zamani wanaheshimu Sana viapo ata baada ya kutangazwa uhulu waliendelea kuwalindia mali na alipo kufa mzee huyo tayarii alikua kashamtengeneza mlinzi mwingine lakini jinsi siku zilivokua zinakwenda ndivo uelewa uliendelea kwavizazi baada ya kuzeeka akamlisisha mjuku wake anaitwa MUZUNGU aakilinda PANGO watu walihama kufata huduma za kijamii na katika Kijiji kikageuka msitu wakutishaa nakila watu wakienda kufanya utafiti jitu lilikua linaitwa muzungu liliwauwa na lamaani yakuwafikisha pangon analudisha pale pale kama walinzi waliopita walivyokua wanafanya nahayo maelekezo waliopewagwa na waingeleza hao ili siku wakiludi wasihangaike. SASA nimewaambia ili mkafatilie iyo mali nimeona nivunje kiapo kwakua sasa ivi tumeshajitambua napolini kunahatari kubwaa na mzungu awezi kuluhusu kuwaacha kapambane nae mshukue hiyo mali MAELEKEZO HAYO ALIKUA ANATOA MZEE CHONGOA AKIWA ANAKARIBIA KUFARIKI AMBAE PIA NAYEYE KATOKA KATIKA UKOO WA WALE WALINZI WA MALI YA MKOLON BAADA KUWAAELEZA AKAFARIKI, hayomaelezo walikua wanapewa vijana wawili wasomi ALI NA JOHN ikabidi waludi Ofisini mwao kuungana mwenzao SUZY kupanga namna ya kufanya baada yakukubalianaa SUZY na JHON na ALY ,Suzy akatoa maaoni kua watafute watu wenye tahaluma mbali mbali wawaliipe ili wakafanye kazi hiyo wakakubalia wakataftana vijana watu DIZZO yeye ni msomi nzuli walamani na majila pia ni mchesh IBU yeye tahaluma yake ni doctor pia anapenda kuimba kila aina ya nyimbo nimchechi pia SUMA yeye ni mwanajeshi aliefukuzwa kazi kwakumuua mwanajeshi mwenzake bila kukusudia yeye nijasili lakini nimuoga hizo ndizo tabia za hao vijana basi waliitwa Ofisi ya utafiti ikiongozwa na madam SUZY baada ya kukubaliana walipanga kufika Ofisin hasubuh na safari ianze ilipo fika hasbuh vijana walilipoti na wakapewa vitu vyote ikiwemo blutus silaa wakabeba chakula vifaa vya matibabu wakafungwa kamela ili Ofisi iwe inatazama matukio yote yatakayokua yanatokea gali liliwabeba mpaka sehem ya tukio wakashuka wakaelekea kwenye huo msitu wakutishaa wakiongozwa na kamanda SUMA wakielekea kwenye ule mti wachukue lamaani yakuwafikisha kwenye PANGO lile na maelekezo wakua wanapewa kutoka Ofisi ya utafiti ikiongozwa na madam SUZY walifika kwenye mtiwachukue lamaani yakuwafikisha pangon lakini kipindi wanashika Raman jitu la polini likafumbua macho nahapo likajua watu waneingia kikachuku shoka likaingia kazin waliona kazin nyepesi baada ya kupata ile Raman kumbe kazi ndo inaanza wakiwa wanaingia tu SUMA akakanyaga bomu alivowaambia wakakimbia Suzy akawaaambia wakamsaiidie wakuludi kumsaidia kutegua kuangalia vizuri kumbe ni mavi ya mnyama wakamcheka Sana nakuendele nasafali wanatoka na jitu linafika likaendele kuwafatilia liliwasumubua Sana walipata shida Sana walikamatwa na mitego huku wakikata taama na mawasiliano naofisini yakawa hamna lakini walikua wanawaona kupitia kamela ziliendea kuwaona Ofisini ilishindwa kuwasaidia kwaajili ya mawasiliano nao walipambana na jitu wakalishinda wakaingia pangon wakapata Raman wakiwa wamepotezana wakataftana wakajpata Ofsni walishangilia kwakupongezana vijana wakiwa hoi wakaanza safari yakuludi mjini jitu lilikata kamba lakn halikuwpata kz ya kwanza yakupata Raman ya mkolon wakawa wamefanikiwa jitu liliwafatilia kwanyuma bila mafanikio SUZY aliwaambia ALY NA JHON watumegali mapema kwenda kuwachukua baada yakuhisi jitu lipo nyuma yao gali likafika wanachukuliwa tu nagal wakiwa hoi jitu linafika linachelewa linaludu polini kwahasila ili lijipange upya, MPANGO WA KWANZA UNAKAMILIKA KUFANIKIWA KUPATA ILE RAMAN YA MALI YA MKOLON UNABAKI MPANGO WA PILI KWENDA KUFATA MALI

Updated at

Read Preview
DARASA

DARASA

Reads

SOMO LA 1 HATUA ZA UANDISHI WA HADITHI unaandika mawazo au aidia yako yote kwenye vikaratasi Kisha unavikusanya nakua sehemu Moja. BAADA YA KUKUSANYA HATUA ZAKUFATA NI,,, 1) SYNOPSES -hadithi kwa ufupi 2)TRIMESTER-kuandika Hadithi kwa kina 3) STEP BY STEP-hatua kwa hatua ya story 4) SCENE BY SCENE -uandishi wa vipande vyote vilivyomo ndan ya Hadithi kwa ufupi mpaka kipande ya mwisho 5) unavipitia vipande kama vipi sawa SOMO LA 2 HADITHI INAUNDWA NA NINI? 1)inaundwa na ulimwengu wa Hadithi 2)wausika 3)matukio katka Hadithi SCENE NI NINI? scene ni kipande katka film VIFAA VINAVYOTUMIKA SCENE INAMAMBO 3 1) movie mapic 2) final draft 3) writer duit SCRIPT NI NINI? script ni muongozo wa Hadithi unapo andika script niliazima utumie hatua zote za kwanza SCRIPT INAUNDWA NA NINI? 1) Cave pepper A)inatakiwa iwe na majina ya waandaaji B)jina la film MIONGONI MWA VIFAA VINAVYOTUMIKA KUTENGENEZEA HADITHI 1) log line -niufupisho wahadithi kwa vitendo na kwa sentence Moja SOMO LA 3 FILM PRODUCTS 🎥-uzalishaji wa film uzalishaji wa film umegawanyika katka sehemu kuu Tano ( 5) 1'A) STORY DEVELOPMENT hatua ya utunzi/uandishi hii hatua ya utunzi wa Hadithi inategemea na ukubwa wa Hadithi inaweza chukua ata miaka kadha B) SCRIPT WRITING Raman ya Hadithi 2)PRE PRODUCTION hatua ya kwanza ya uzalishaji MAANDALIZI YA UZALISHAJI A, Location scouting kutafuta sehemu ya kushutia B,) CASTING Wausika C) maandalizi ya rasilimali D)SCHEDULION utengenezaji wa latiba ya kushuti E),LIESO mazoezi ya kushuti SCRIPT BLACK DOWN kuvunja script kuichambua nimchanganuo wa mswada ili kusaidia shughuli za maandalizi ya kushuti ziendelee na brack down inafanyikaa SOMO LA 4 CAMERA 📷 MOVEMENT MWENDO WA CAMERA (A)mwendo wa kamera huongeza hathari za kihisia na kumzamisha mtazamaji kwenye Hadithi (B) STATUE SHORT -kamera haiondoki mahal pake ikilenga utulivu au mvuto watukio au manzali ya eneo husika (C) TRACKING SHORT -kamera inatafuta muhusika au tukio, mfano.kipande cha ukumbini katka the shutngi (D)

Updated at

Read Preview
MALIPO DUNIAN (comed)

MALIPO DUNIAN (comed)

Reads

MOX (30) anafanya kazi ya daladala kuwabeba watu kuwatoa sehem moja kwenda sehem nyingine siku moja alikutana na dada mmoja akamwambia amuelekeze ampelekee mboga yeye anakwenda kumuona mume wake hospital kapata ajali akamuelezea MOX akawa anaenda kufika njiani akajishauli hakupeleka akaenda kupika kwake siku iliyo fata MOX alienda kijiweni kwake Hali ilikua mbaya akaja mteja mmoja akamuwahi alivo panda mnyololo ukadondoka mteja akapanda usafili mwingine akaondoka pale kijiweni akaenda mtaani akapata abilia alipo panda upepo ukaishaa abilia akapanda usafili mwingine baada ya muda baada yakujaza akapata abilia mwingine anakaa gamba likapiga bomu wakasambaana akaweka tube jipya akapata abilia m bovu wa mguu alipata ajali wakaelewana amfikishe nyumban atamlipa vizuri hataki kupanda pikipiki wakakalibia kufika mlima ulikua mkubwa yule mteja akamwambia kama hatomfikisha hampi ela ikabidi MOX am,bebe kufika yule mteja akamwita mke wake alete ela alivotoka kumuona yule daladala akamwambia munewe yule ndokijana jana alimpa mboga akakimbia

Updated at

Read Preview
SWAIBA (comed story)

SWAIBA (comed story)

Reads

Updated at

Read Preview

Navigate with selected cookies

Dear Reader, we use the permissions associated with cookies to keep our website running smoothly and to provide you with personalized content that better meets your needs and ensure the best reading experience. At any time, you can change your permissions for the cookie settings below.

If you would like to learn more about our Cookie, you can click on Privacy Policy.