DARASA
READING AGE 18+
SOMO LA 1
HATUA ZA UANDISHI WA HADITHI
unaandika mawazo au aidia yako yote kwenye vikaratasi Kisha unavikusanya nakua sehemu Moja.
BAADA YA KUKUSANYA HATUA ZAKUFATA NI,,,
1) SYNOPSES -hadithi kwa ufupi
2)TRIMESTER-kuandika Hadithi kwa kina
3) STEP BY STEP-hatua kwa hatua ya story
4) SCENE BY SCENE -uandishi wa vipande vyote vilivyomo ndan ya Hadithi kwa ufupi mpaka kipande ya mwisho
5) unavipitia vipande kama vipi sawa
SOMO LA 2
HADITHI INAUNDWA NA NINI?
1)inaundwa na ulimwengu wa Hadithi
2)wausika
3)matukio katka Hadithi
SCENE NI NINI?
scene ni kipande katka film
VIFAA VINAVYOTUMIKA SCENE INAMAMBO 3
1) movie mapic
2) final draft
3) writer duit
SCRIPT NI NINI?
script ni muongozo wa Hadithi
unapo andika script niliazima utumie hatua zote za kwanza
SCRIPT INAUNDWA NA NINI?
1) Cave pepper
A)inatakiwa iwe na majina ya waandaaji
B)jina la film
MIONGONI MWA VIFAA VINAVYOTUMIKA KUTENGENEZEA HADITHI
1) log line -niufupisho wahadithi kwa vitendo na kwa sentence Moja
SOMO LA 3
FILM PRODUCTS 🎥-uzalishaji wa film
uzalishaji wa film umegawanyika katka sehemu kuu Tano ( 5)
1'A) STORY DEVELOPMENT
hatua ya utunzi/uandishi
hii hatua ya utunzi wa Hadithi inategemea na ukubwa wa Hadithi inaweza chukua ata miaka kadha
B) SCRIPT WRITING
Raman ya Hadithi
2)PRE PRODUCTION
hatua ya kwanza ya uzalishaji
MAANDALIZI YA UZALISHAJI
A, Location scouting
kutafuta sehemu ya kushutia
B,) CASTING
Wausika
C) maandalizi ya rasilimali
D)SCHEDULION
utengenezaji wa latiba ya kushuti
E),LIESO
mazoezi ya kushuti
SCRIPT BLACK DOWN
kuvunja script kuichambua
nimchanganuo wa mswada ili kusaidia shughuli za maandalizi ya kushuti ziendelee na brack down inafanyikaa
SOMO LA 4
CAMERA 📷 MOVEMENT
MWENDO WA CAMERA
(A)mwendo wa kamera huongeza hathari za kihisia na kumzamisha mtazamaji kwenye Hadithi
(B) STATUE SHORT -kamera haiondoki mahal pake ikilenga utulivu au mvuto watukio au manzali ya eneo husika
(C) TRACKING SHORT -kamera inatafuta muhusika au tukio,
mfano.kipande cha ukumbini katka the shutngi
(D)
Unfold
Dear Reader, we use the permissions associated with cookies to keep our website running smoothly and to provide you with personalized content that better meets your needs and ensure the best reading experience. At any time, you can change your permissions for the cookie settings below.
If you would like to learn more about our Cookie, you can click on Privacy Policy.
Waiting for the first comment……